fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Microsoft

MicrosoftTabletWindows 8

Tablets na Kompyuta za Windows 8 Kuingia Sokoni Oktoba!

Kampuni ya Microsoft watoa taarifa kuwa vifaa vitakavyokuwa vinatumia Windows mpya ya 8 vitakuwa madukani kuanzia mwezi Oktoba mwaka huu. Hayo yalisemwa katika Mkutano wa Microsoft Worldwide Partner, Microsoft iliwaambia washirika wa kampuni hiyo (kampuni zinazotengeza kompyuta) inatarajia kutoa Windows 8 RTM mapema Agosti. RTM inasimama kwa ajili ya ‘Release To Manufacturing’ hivyo hii inamaanisha Microsoft inaweza…

AppleMicrosoftsimuTabletTabletsWindows 8

‘Surface’, Microsoft Waamua Kutengeneza ‘Tablet’!

Kabla ya kuwaelezea kuhusu hii tablet kutoka kampuni ya Microsoft, kwanza ningependa kuanza kwa kuelezea kitu gani kinaitwa ‘tablet’, naamini wengi watakuwa wanatambua ila nimeshauulizwa maswali mengi sana wakati watu wakiniona na tablet. Wengi wanaziita IPad hata kabla ya kujua inatengenezwa na kampuni gani. Tablet- ni jamii ya vifaa vya kompyuta vyenye muundo mdogo wa…

MicrosoftWindows XP

Windows XP; Miaka Miwili Zaidi ya Uhai!

Kwa watumiaji wote wa kawaida wa Windows XP muda wa kuanza kujifunza kuzoea Windows Vista na Windows 7 umewadia kwani Microsoft wametangaza kuanzia tarehe mwezi wa Nne mwaka 2014 ndo utakuwa mwisho wa ‘updates’ za aina zote kwa Windows XP. Kwa maana nyingine ‘hackers’ na wadudu kama ‘virus’ na ‘trojans’ wapya kuanzia hapo watakuwa na…

TeknoKona Teknolojia Tanzania