Kompyuta
Prosesa za Celeron: Kwa nini uziepuke ingawa huwa zinakuja kwenye laptop za bei nafuu
Prosesa za Celeron kutoka kampuni ya Intel zimepata umaarufu sana siku hizi kwani zinakuja kwenye kompyuta/laptop za sifa mbalimbali. Lakini je ni nzuri kwako?
Kivinjari, Kompyuta, Maujanja, Teknolojia
WhatsApp ya giza kwenye Chrome, Safari, FireFox
Kama kuna kipengele ambacho katika miezi ya karibuni kimepata umaarufu wa aina yake (hasa kwa wale ambao wanafahamu kitu hicho kipo ndani ya programu...
Kompyuta, Maujanja, Teknolojia, Windows 10, Windows 7, Windows 8
Kulinda faili ndani ya Windows 7, 8 au 10
Ukiwa mtumiaji wa kompyuta na hasa kama shughuli zako ili kwenda vizuri na kukamilika bila tabu unahitaji kifaaa hicho cha kielektroniki basi huna budi...
Kompyuta, Maujanja, Teknolojia
Namna ya kufunga nyaraka kwa nenosiri
Usalama kwenye maisha yaliyotawaliwa na teknolojia ni kitu muhimu sana hasa pale unapopenda kuwa mtu wa kutopenda kuweka mambo yako wazi na katika zama...
apps, Kompyuta, Maujanja, simu
Jinsi ya kutumia simu yako kama Webcam kwenye Kompyuta yako
Je inawezekana kutumia simu kama webcam kwenye kompyuta ambayo haijaja na kamera? Kama umejiuliza swali hilo basi umekuja sehemu sahihi kabisa. Kama una kikao...
Data, Kompyuta, Teknolojia, Usalama
SecureDrive KP: Fahamu Kuhusu Diski zinazohitaji kuingiza Password kufanya kazi
Je umeshatamani kuwa na diski (External) kwa ajili ya kuhifadhi data zako kiusalama zaidi? Fahamu kuhusu diski za SecureDrive KP.
Kompyuta, Maujanja, Windows
Dark Mode kwenye Windows 10, Fahamu jinsi ya kuwezesha. #Windows10 #DarkMode
Leo fahamu jinsi ya kuwezesha dark mode kwenye Windows 10. Muonekano wa giza, yaani Dark Mode, umekuwa maarufu sana siku hizi katika vifaa vya...
apps, Kompyuta, Windows
MiniLyrics: Programu nzuri ya kuonesha lyrics za nyimbo kwenye kompyuta yako
MiniLyrics ni moja ya programu muhimu kuwa nayo kwenye kompyuta yako kwa watu wanaopenda muziki na wanaopenda kuimba kupitia usomaji wa maandishi ya nyimbo...
Apple, IPhone, Kompyuta, simu
Apple na kufanya iPhone za zamani kuwa nzito, wapigwa faini nchini Ufaransa
Katika mwaka 2017 baada ya malalamiko ya watu ya muda mrefu, Apple walikubali ya kwamba huwa wanafanya iPhone za zamani kuwa nzito. Ila walisema...
Kompyuta, Microsoft, Teknolojia, Windows, Windows 10
Unatumia Windows 7? Muda wa kwenda Windows 10 umefika.
Kama unatumia Windows 7 kwenye kompyuta yako basi muda wa kusasisha (upgrade) kwenda Windows 10 umefika. Microsoft wameiweka tarehe 14 Januari 2020 kama mwisho...
Kompyuta, Teknolojia, Windows 10, Windows 7
Windows 10 Itaingia Ktk Kompyuta Zenye Uwezo Huu!
Mara nyingi tumekutana na hili jambo ambapo watu wanaotuzunguka wanauliza kama kompyuta zao zina uwezo wa kupokea programu endeshaji ya windows 10.
Kompyuta, Roboti, Teknolojia
Teknolojia kuchukua ajira milioni 800 kufikia 2035! #Teknolojia #Roboti
Teknolojia kuchukua ajira mbalimbali katika miaka ya hivi karibuni. Utafiti unaonesha nusu ya ajira zote duniani kuchukuliwa na teknolojia kufikia mwaka 2035. Hii ni...