Facebook Wanazidi Kujitutumua, App ya Kamera ya Simu na Sasa ‘Wanaitaka Opera’!
Hapa kuna habari mmoja ambayo ndiyo ya uhakika zaidi nayo ni kwamba Facebook wameanza kutoa ‘App/Software’ ya simu kwa ajiri ya kutusaidia katika ku’share picha tunazopiga kiurahisi zaidi. Kwa sasa software hiyo tayari inapatikana kwa wale wanaotumia vifaa vya Apple kama simu za IPhone na hata IPad tablets. App/software (‘app’ ndo jina maarufu zaidi siku…