fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

IBM

IBMTanzaniaTEHAMA

Kampuni ya IBM Yaingia Mkataba na Serikali ya Tanzania!

Juzo tarehe 4, Tanzania kupitia Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia pamoja na Bwana David Sawe, Mtendaji Mkuu wa IBM Tanzania Ltd walisaini mkataba ushirikiano katika masuala mbalimbali yahusiyo teknolojia za kisasa kwa maendeleo ya Tanzania. Chimbuko la makubaliano hayo Waziri alisema yalianza tangu mwaka 2007, kufuatia ziara ya kikazi ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wetu aliyoifanya…

TeknoKona Teknolojia Tanzania