fbpx

Kuhusu:apps

 

twitter-t8t9jj-520x245

Twitter ni mtandao wa kijamii wa pili kwa ukubwa duniani. Maarufu kwa meseji zake zenye maneno 140 tuu zinazojulikana kama ‘Tweets’. Twitter ilianzishwa mwezi  Machi 2006 na katika kipindi cha miaka nane ilipata umaarufu wake duniani kote. Kwa sasa Twitter ina watumiaji zaidi ya milioni 271 ambao wako hai (active users), amabao wana Tweet Tweet milioni 500 kwa siku kwa kiwango cha  Tweet 1,40,000 kwa sekunde. Inavutia Sio?

 

Endelea Kusoma
0 Comments
Sambaza
1525354