fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

apps

appsinstagramIntanetiMtandaosimu

Instagram Wabadili Maamuzi!

Mtandao wa jamii maarufu duniani katika masuala ya picha umebadilisha vipengele katika mikataba na watumiaji wake vilivyokuwa vinaruhusu utumiaji wa picha za watumiaji kibiashara bila idhini yao.  Kampuni hiyo ya Instagram ilinunuliwa na Facebook na katika hatua za mwanzo inasemekani uongozi mpya unakuna ni jinsi gani watatengeneza faida kupitia huduma za Instagram. Baada ya kutangaza…

AfrikaappsKompyutasimuTabletTanzaniaTeknolojiaVodacom

AppStar Kutoka Vodacom, Watengenezaji wa Apps Mpo?

Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu, Vodacom, imeandaa shindano kwa ‘developers’ katika nchi za Africa na Uarabuni kuweza kutengeneza, kuuza na hatimaye kushinda zawadi mbalimbali kutokana na mawazo yao na app watakazotengeneza. Kupitia shindano hili, wataalamu wa teknolojia wanaoishi na kufanya kazi katika nchi za Tanzania, Afrika Kusini, Misri, Lesotho na Qatar watapata nafasi…

TeknoKona Teknolojia Tanzania