Kim Kardashian Aitetea Application Yake Maarufu!
Game ya Mwanadada Kim Kardashian ‘Kim Kardashian; Hollywood’ ni Gemu ambalo linaruhusu wachezaji wake kuishi kama watu maarufu. Hili gemu ni la bure katika stoo zote za Android na iOs lakini wachezaji wanaweza tumia pesa ya ukweli katika kununua vitu ndani ya gemu mfano nguo na bidhaa nyingine. Hili swala limewafanya wazazi wengi kuona…