Apple Waacha Kuzalisha Matoleo Yote Ya iPod!
Kumbuka iPod ya kwanza kabisa iliingia sokoni mwaka 2001 na ikabadilisha kabisa jinsi watu wanavyosikiliza na mapenzi ya muziki yaliongezeka kwa kiasi kikubwa.
Kumbuka iPod ya kwanza kabisa iliingia sokoni mwaka 2001 na ikabadilisha kabisa jinsi watu wanavyosikiliza na mapenzi ya muziki yaliongezeka kwa kiasi kikubwa.
Ujio wa toleo la iPod Touch la mwaka 2019 unaleta ujumbe mkubwa sana uliojificha. Ujumbe huo ni kwamba Apple kwa sasa wanawekeza kwenye ‘huduma zaidi’, wameshaona mapato kwa njia ya kuuza iPhone tuu yanashuka ila ni huduma zake za kwenye iOS ndio zinatengeneza pesa.
Hakika, teknolojia ya simu imesaidia sana hata hivyo bado imefanya vifaa vingine kufa au kupoteza muonekano wake katika macho yeto. iPod Touch ni moja kati ya bidhaa kutoka Apple ambazo ziliwahi kufanya vizuri sana.
Hyper wmeamua kuingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuendeleza kasi yao ya kutoa bidhaa ambazo zina kitu/vitu vya kipekee amabvyo vinazidi vingine; safari hii kimemeshi chenye nguvu sana.
Ni nadra sana kwa kampuni kama Apple kutangaza kuwa itafanya matengenezo ya bidhaa fulani ambazo zimekwisha kununulika bila ya kuwatoza gharama yoyote wahusika lakini daima huwa kuna sababu maalum.