fbpx

Simu mbili za Nokia zitakazozinduliwa Mei 7

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

HMD Global ambao tayari wana bidhaa mblaimbali ambazo zinabeba jina la Nokia mwezi huu wa Mei kuzindua simu mbili za Nokia ambazo zilipata kutangazwa mwezi Februari wakati wa onyesho la MWC2019.

Makampuni mengi yanapotaka kuzindua bidhaa mpya mara nyingi huwa wanatoa vidokezo fulani ulani kuhusiana na kitu hicho ambacho wanataka kukileta machoni pa watu. Wakati wa onyesho la MWC2019 HMD Global iliweka wazi kuwa wana Nokia 9 PureView, Nokia 4.2, Nokia 3.2, Nokia 1 Plus na Nokia 201 ambazo watazitoa na tayari baadhi ya simu hizo zimeshazinduliwa.

Noki 3.2 na Nokia 4.2 ni rununu (simu janja) ambazo zinatazamiwa kuzinduliwa Mei 7 huko India na kulingana na kidokezo kutoka kurasa rasmi inaonyesha simu hizo kwenye kitufe cha kuzima/kuwasha simu kitakuwa kinawakawaka iwapo patakuwepo na taarifa fupi. Kwa undani zaidi rununu husika zitakuwa na sifa zifuatazo:-

INAYOHUSIANA  FAHAMU: Jinsi Ya Kuwa Na Jina Moja Facebook!

Kipengele

Nokia 3.2

Nokia 4.2

Kioo Kioo kina urefu wa inchi 6.26 (72081520px)  LCD IPS Kioo kina urefu wa inchi 5.71 (720 x 1520 pixels)
Muonekamo Ina umbo la herufi “V” iliyowekwa sehemu ndogo sana kwenye kamera ya mbele Ina umbo la herufi “V” iliyowekwa sehemu ndogo sana kwenye kamera ya mbele
Kipuri mama Qualcomm SDM429 Snapdragon 429 ndio iliyowekwa Qualcomm SDM439 Snapdragon 439
Simu mbili za Nokia

Nokia 3.2

Kipengele

Nokia 3.2

Nokia 4.2

Kamera

Nyuma: Kamera moja-MP 13+LED flash

 

 

 

 

Mbele: Ina kamera moja yenye MP 5.

Nyuma: Kamera tmbili-MP 13+MP 2+LED flash.

 

 

 

 

Mbele: Kamera moja yenye MP 13.

RAM/Diski uhifadhi
 • 2GB za RAM kwa GB 16 menori ya ndani,
 • 3GB zaRAM kwa GB 32 memori ya ndani.
 • 2GB za RAM kwa GB 16 menori ya ndani,
 • 3GB za RAM kwa GB 32 memori ya ndani.
Betri
 • 4000mAh ndio nguvu ya betri na halitoki.
 • Ina teknolojia ya kuchaji haraka (10W)
 • 3000mAh ndio nguvu ya betri na halitoki
Simu mbili za Nokia

Nokia 4.2

Kipengele

Nokia 3.2

Nokia 4.2

Bei

$145|zaidi ya Tsh. 340,700 (32GB)

$189|zaidi ya Tsh. 434,700 (32GB)

Rangi

Nyeusi, rangi ya chuma

Nyeusi, Udhurungi

Mengineyo

 • Inatumia kadi mbili za simu kiwango cha GSM / CDMA / HSPA, 4G
 • Ina Android One (masasisho ya Android 9 Pie ni mpaka hapo baadae),
 • ina uwezo wa kukubali memori ya ziada mpka GB 400,
 • Ina sehemu ya kuchoka spika za masikioni,
 • Ulinzi wa kutumia alama ya kidole upo kwa nyuma kwa toleo la GB 3/32GB.
 • Ina Bluetooth toleo la 4.2, pamoja na kuwa na redio. inatumia USB 2.0, USB OTG
 • Inatumia kadi mbili za simu kiwango cha GSM / CDMA / HSPA, 4G,
 • Ina Android One (masasisho ya Android 9 Pie ni mpaka hapo baadae),
 • Ina uwezo wa kukubali memori ya ziada mpka GB 400,
 • Ina sehemu ya kuchoka spika za masikioni,
 • Ulinzi wa kutumia alama ya kidole upo kwa nyuma,
 • Ina Bluetooth toleo la 4.2, ina redio, iatumia USB 2.0, USB OTG
INAYOHUSIANA  Daktari mpasuaji akiri kuweka nembo katika maini ya wagonjwa wake

Hizo ndio simu mbili za Nokia ambazo ziazinduliwa ndani ya siku chache zijazo. Vipi wewe msomaji wetu umevutiwa na ipi kati ya hizo mbili?

Vyanzo: Today India, GSMArena

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.