fbpx

Punguzo la bei ya betri kwa simu za iPhone

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +

ICT CONFERENCE 2019

Sambaza

Simu janja nyingi zimekuwa zikikabiliwa na tatizo la kutokaa na umeme kwa muda mrefu kitu ambacho kinasababisha mtu kufikiriakubadilisha betri kitu ni gharama lakini si pale ambapo kuna punguzo la bei.

Mwezi Desemba ni mzuri kwa yeyote yule ambae antumia iPhone kwani kampuni husika imetangaza punguzo la bei kwa betri ya iPhone SE mpaka iPhone X.

Ofa hiyo itadumu mpaka Desemba 31 ambapo bei ya betri itakuwa ni $29|Tsh. 66,700 kutoka $79 ambayo ni sawa na Tsh. 181,700.

Punguzo la bei

Bei rahisi ukitaka kubadilisha betri kwa baadhi ya simu za iPhone.

Mwaka 2019 ukitaka kufanya matengenezo ya iPhone toleo la zamani kidogo itagharimu $49|Tsh. 112,700 lakini betri ya iPhone X itabadilisha kwa $69|Tsh. 158,700.

Vyanzo: Forbes, GSMArena

Facebook Comments

Sambaza

ICT CONFERENCE 2019

INAYOHUSIANA  BlackBerry Venice: Picha za Simu ya Android Kutoka BlackBerry Zavuja
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.