fbpx
apps, Maujanja, Teknolojia, Uchambuzi

PowerAmp 3.0 : App bora ya kusikilizia mziki yazidi kung’aa

poweramp-3-0-app-bora-ya-kusikilizia-muziki
Sambaza

Poweramp ni moja ya app kongwe ambayo inatumika kusikilizia muziki katika simu janja. App hii ina uwezo wa kufanya mambo kadhaa ambayo yatasababisha usikilize muziki katika hali/kiwango/ubora wa juu zaidi.

Hii ni app nzuri japo inakuja kwa gharama, kwa kuwa utaweza kutumia kwa siku 14 tu baada ya hapo itakuhitaji kulipia ili kuendelea kuitumia. App hii inayopatikana Playstore pia hivi karibuni imeleta toleo jipya la Poweramp 3.0 ambalo lina vitu vingi sana vimeongezwa.

Ukijaribu app hii unaweza jikuta ukalipia toleo rasmi au ata ukaingiwa na hamu ya kutafuta toleo lililofunguliwa uwezo wa kutumia toleo la kulipia kutoka kwenye mitandao ambayo si rasmi 😀

 

INAYOHUSIANA  Mambo 16 Ya Ukweli na ya Kuvutia Kuhusu Bill Gates!
poweramp 3.0
Muonekano wa app

Toleo jipya (version) la app hii limekuja na vitu vingi ambayo vinaongeza ufanisi wa sauti na muonekano utakaokufanya uifurahie unapoitumia.

picha : xda

Unaweza ingia PlayStore na kudownload hii app bure kabisa ili kujaribu kuona kama kama inakufaa.

Soma kuhusu apps mbalimbali -> Teknokona/Apps

Ingia hapa (Google PlayStore) au hapa (Tovuti yao)

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share
Tags: , ,

Lymo

A Cyber Security Guy | A student | I Know A lot