fbpx

Mchezo wa kushinda kiurahisi

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Teknolojia ya leo wala haihitaji kwenda mbali ili kuweza kupata mchezo fulani bali kwa kutumia kifaa chako cha kiganjani na ukaweza kuburudika/kushinda katika hali nzuri kabisa.

Nikiwa kama mtu mmojawapo ambae napendelea kutumia michezo (magemu) kuiburudisha akili yangu baada ya kazi ngumu huwa sichezi mbali na vile ambavyo vinaniburudisha na katika pitapita zangu nikakutana na hiki ambacho kitatufaa wengi kutokana na kuwa na wateja wengi.

Halotel Tanzania wameweza kufikiria kitu ambacho kingewza kuonekana kutokuwa na mantiki kwa idadi kubwa ya watu lakini pengine sasa itapendeza kutokana na kile ambacho atazawadiwa akibahatika kushinda.

kushinda

Mchezo uliopo kwenye programy tumishi, ‘My Halotel’ kwa wnye simu zinazotumia mfumo endeshi wa Android.

Ukiwa na simu janja kama haina kifurushi cha intaneti/dakika za kuongea au hata uwezo wa kutuma ujumbe mfupi wa maneno inaweza kuwa shida kutembea na simu husika. Sasa sio vibaya tukajiburudisha na kufurahi zaidi pale tunaposhinda.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Ruhusu Google kufuta kirahisi vitu
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.