fbpx
Afrika, apps, Teknolojia, Uchambuzi

Hizi hapa simu mbili za Mara X na Z kutoka Rwanda

mara-x-na-z-kutoka-rwanda-uchambuzi
Sambaza

Katika kuhakikisha kwamba jamii yake inapata teknolojia kwa bei nafuu zaidi Rwanda imekuwa nchi ya kwanza Afrika kuanzisha kiwanda cha utengenezaji simu janja unaohusisha utengenezaji wa vipuli vingi hapo hapo badala ya kuagiza nje.

Simu mbili tayari zimezinduliwa na muda mfupi zitaanza kupatikana katika masoko ya uuzwaji wa simu ndani ya Rwanda na katika nchi zingine za Afrika.

Simu hizo mbili zitafahamika kama Mara X na Mara Z ambazo zote zitakuwa zina uwezo wa kutumia laini mbili.

INAYOHUSIANA  Samsung yafanya majaribio ya teknolojia ya 5G

Rwanda wazindua simu janja mara rwanda

Kwa ufupi tumekuwekea uangalie sifa za simu hizo mbili kutoka Bara la Afrika.

Sifa za simu ya Mara Z

Prosesa Qualcomm MSM8940 Snapdragon 435
Network 2G, 3G, 4G
Ukubwa wa kioo 5.7 inches, 720 x 1440 pixels, 18:9 aspect ratio, IPS LCD with   Corning® Gorilla® Glass and Oleophobic Coating.
Mfumo endeshi OS Android 8 Oreo.
Ukubwa wa uhifadhi 32 GB
RAM 3GB
Kamera ya Nyuma 13 MP single camera, f2.0 Aperture, auto focus, Portrait Mode (Bokeh effect) , LED flash, 1080p@30fps video recording, Dual Recording.
Kamera ya Selfie 13 MP, f2.2 Aperture, fixed focus, 1080p@30fps video capture.
Ujazo wa Betri Lithium-Polymer 3070 mAh (Haichomoki)
FM Radio Kuna redio
INAYOHUSIANA  Simu rununu Realme 2 Pro imetoka
Muonekano wa Mara Z

Sifa zs simu ya Mara X

Prosesa MediaTek MT 6739
Network 4G LTE with VoLTE and ViLTE, VoWi-Fi
Ukubwa wa kioo 5.5 inchi
Mfumo endeshi OS Android 8.1 Oreo GO Edition
Ukubwa wa uhifadhi 16GB
RAM 1GB
Kamera ya Nyuma 13 MP
Kamera ya Selfie 5 MP
Ujazo wa Betri 3500mAh
Muonekano wa simu ya Mara X

Soma kuhusu uzinduzi na uwezo wa kampuni inayotengeneza simu hii. Soma – Rwanda wazindua simu janja mbili, simu kupatikana kwa malipo ya taratibu (contract)

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share

Siyan

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.