Matumizi/teknolojia ya sarafu zisizoshikika imeendelea kuteka hisia za makampuni mengi duniani ambapo kampuni ya Line (inayomiliki programu tumishi ya Line) itazindua sarafu yake ya kidijitali.
Line (kampuni) ni ya nchini Japan ambapo wanatazamiwa kufanya mageuzi kwenye kile ambacho kinawaunganisha kati ya wao na wateja/wananchi wa nchini humo kwa kuzindua safrafu ya kwao wenyewe iitwayo “LINK“.
Safafu hiyo isiyoshikika itatotelwa kama zawadi kwa wateja wanaotumia line kutokana na kutumia huduma mbalimbali zinazopatikana kwenye programmu tumishi husika.
LINK itaweza kutumika kufanya biashara katika mfumo huo wa malipo (BITBOX).
Ni ukweli usiopingika kuwa teknolojia ya sarafu zisizoshikika zimetokea kupata soko na watu kujipatia kipato kizuri baada ya muda fulani.
Vyanzo: Reuters, EtherDesk
One Comment
Comments are closed.