fbpx

Kutunza vitu kwa hiari kwenye Android

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +

vodacom swahili

Sambaza

Kila baada ya muda fulani mfumo endeshi tu bila ridhaa ya yule anaetumia kifaa husika inatunza kumbukumbu za kwenye simu, tabiti, na kuzihifadhi wanapopajua lakini sasa hilo linaenda kubadilika hasa kwenye Android.

Tunapokuwa tumeunganisha vifaa vyetu kwenye intaneti (vinavyotumia Android/iOS) basi tambua tu kwamba kuna wakati mfumo endeshi unaanza tu ktunza vitu kama namba za simu, tarehe muhimu ulizoziainisha kwenye kalenda, n.k kitu ambacho kinachangia katika matumizi ya kifurushi cha intaneti.

Katika maboresho ya hivi karibuni kwenye baadhi ya simu janja mathalani Google Pixel 2 imeonekana Google wameweka kitufe ambacho kinakuruhusu kufanya maamuzi ya kutunza kumbukumbu kwa hiari!.

kwenye Android

Kwa vifaa vinavyotumia Android: Kitufe kichakuwezesha kufanya maamuzi ya kutuza kumbukumbu kwa hiari.

Sasisho hilo pia limeonekana kwenye vifaa vinavyotumia Android Marshmallow lakini kiujumla bado hakipo kwa matoleo yote ya programu endeshi husika.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Kutafuta kitu mtandaoni kupitia WhatsApp
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.