fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: tv

Ifahamu TV ya 4K Ambayo Inabamba Zaidi Ya HD
Teknolojia

Ifahamu TV ya 4K Ambayo Inabamba Zaidi Ya HD

Je unadhani ya kwamba runinga za HD (high Definition ) ndiyo aina ya kisasa zaidi? Pole kama ulidhani hivyo maaana teknolojia imekwisha kuacha, runinga mpya zilizopewa jina la 4k ndiyo teknolojia mpya zaidi kwa huu upande wa runinga. 4k ni aina ya runinga mpya ambazo zimeboreshwa katika mfumo wa uundaji wa picha. Wakati runinga za HD…

Angalia TV Bure Kwenye Kompyuta au Simu Na Hizi Njia Kadhaa
IntanetiJinsiKompyutaMaujanjasimuTeknolojia

Angalia TV Bure Kwenye Kompyuta au Simu Na Hizi Njia Kadhaa

Itatokea mara chache ambapo utataka kuangalia TV kwenye kompyuta au simu. Kuna kipindi uko mbali na tv yako, iwe hotelini au ugenini na una kompyuta karibu. Pengine upo nyumbani na tv inatumika na mwanafamilia mwingine na ungependa kuangalia chaneli tofauti. Kuna uwezekano ukatumia kompyuta au simu yako kuangalia tv kwenye intaneti. Jambo linalokuja akilini haraka sana…

Teknolojia Zitakazotamba Mwaka Huu Kutoka CES2015
IntanetiTeknolojia

Teknolojia Zitakazotamba Mwaka Huu Kutoka CES2015

Kama umekuwa ukifuatilia teknlojia, wiki hii kumekuwa na gumzo kubwa mtandaoni kufuatia maonesho ya CES2015. CES, yani kifupi cha ‘Consumer Electronics Show’ ni maonyesho ya kimataifa ya  teknolojia inayomlenga mtu wa kawaida yanayofanyika kila mwanzo wa mwaka huko Las Vegas, Marekani. Maonyesho hayo yanavutia kampuni mbalimbali vinara za teknolojia duniani ambao wamekuwa wakitumia maonyesho hayo…

TeknoKona Teknolojia Tanzania