apps, TikTok
ByteDance, wamiliki wa TikTok wasema bado watabaki na teknolojia muhimu
Kampuni ya ByteDance, wamiliki wa app maarufu ya TikTok wamesema bado watabaki na umiliki wa teknolojia muhimu ya app hiyo ata baada ya kukubali...
apps, TikTok
TikTok kuendelea kupatikana Marekani, makubaliano na Oracle yapo hatua za mwisho
TikTok kuendelea kupatikana Marekani kama kawaida baada ya mazungumzo ya awali na Oracle na Walmart kuhusu kuuza sehemu ya biashara yake kwao kuwa ya...
apps, Data, TikTok
Serikali ya China inapinga ulazimishwaji wa TikTok kuuzwa
Mvutano baina ya China na Marekani kuhusu Tik Tok bado waendelea ambapo serikali ya China inasema ni bora ione TikTok inafungiwa nchini Marekani kuliko...
Mtandao wa Kijamii, Teknolojia, TikTok, Uchina
TikTok kufungiwa Marekani: Muda umesogezwa mpaka siku 90
Baada ya mafanikio makubwa ya haraka, TikTok wapo kwenye hatihati ya kufungiwa nchini Marekani. Je, sababu ni nini? Fahamu zaidi.
Google, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia, TikTok
Inaaminika kuwa TIkTok ilikusanya taarifa za watu bila idhini yao
Moja ya programu tumishi ambayo imetokea kupendwa sehemu nyingi duniani katika kipindi cha muda mfupi ni TikTok na katika siku za karibuni kampuni mama...
apps, Teknolojia, TikTok
India yapiga marufuku programu ya TikTok
Serikali ya India imepiga marufuku programu maarufu ya TikTok pamoja na programu nyingine nyingi zilizotengenezwa na Wachina ikisema ni hatari kwa nchi hiyo.
instagram, Teknolojia
Umesikia kuhusu Reels ndani ya Instagram?
Katika ulimwengu wa “Kileo” watu wengi duniani wana akaunti Instagram ambayo imekuwa kivutio cha cha watu duniani kote na hata kusababisha uraibu. Sasa wamezindua...
apps, Mtandao wa Kijamii
TikTok: App iliyokuwa kwa kasi mwaka 2019, tishio kwa Facebook
TikTok ni app inayowezesha watumiaji wake kutengeneza video fupi na kuweza kutazama za wengine na kushiriki kwenye mashindano ya video yanayohusisha sauti au jambo...
apps, Mtandao wa Kijamii
Wamiliki Wa App Ya TikTok Kuanza Kutengeneza Simu Janja!
TikTok ni mtandao wa kijamii ambao umejipatia umaarufu mkubwa sana kwa umahiri wake. ukiachana na umaarufu ni kwamba iko wazi kuwa mtandao huo unapendwa...