Apple, Gari, Magari, Teknolojia, Tesla
Elon Musk: “Tulijaribu kuwauzia Apple kampuni nzima ya Tesla ila Tim Cook akazingua”
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari yanayotumia mfumo wa umeme ya Tesla, amesema walishajaribu kuwauzia Apple kampuni ya Tesla ila Tim Cook alizingua. Inasemekana...
Facebook, Magari, Mtandao wa Kijamii, Roketi, SpaceX, SpaceX, Tesla
Elon Musk afuta kurasa za SpaceX na Tesla kwenye Facebook baada ya kujaribiwa
Mambo si mazuri kabisa kwa upande wa Facebook baada ya kukumbwa na kashfa inayopelekea watu kuanza kuukacha mtandao huo wa kijamii wenye watumiaji wengi...
Teknolojia
Ujenzi wa betri kubwa kuliko yote mpaka sasa wakamilika kwa 50%
Ni bilionea ambaye anajishughulisha na vitu mbalimbali, Bw. Elon Musk na sasa ameamua kuishangaza duniani kwa kuamua kujenga betri kubwa kuliko zote duniani ambalo...
Gari, Magari, Teknolojia
Model 3: Magari ya Tesla ya bei nafuu yaanza kuzalishwa
Kampuni ya Tesla imeanza uzalishaji wa magari ya bei naafu ya umeme yanayokwenda kwa jina la Model 3, Elon Musk ambaye ndiye mkurugenzi mtendaji...
Gari, Teknolojia
Tesla Mbioni Kuja Na Huduma Ya Ku’Stream Miziki!
Tesla ni kampuni kubwa sana inayojihusisha na kutengeneza magari ambao yanatumia umeme. Kitu ambacho kimeshangaza wengi ni kwamba kampuni hiyo inafikiria kuanzisha huduma ya...
Apple, Magari
iCar; Apple yapewa ruhusa ya kufanyia majaribio magari yake yanayojiendesha yenyewe
Teknolojia na biashara ya magari yanayojiendesha yenyewe inakua kwa kasi sana. Tayari makampuni nguli kama vile Google, na Tesla yashafika mbali sana kwenye teknolojia hiyo,...
Teknolojia
Kuunganishwa kwa Tesla na SolarCity sasa kupigiwa kura
Imedhihirika kwamba maamuzi ya kuunganisha kampuni mbili za Tesla na SolarCity sasa yatafanywa kwa wamiliki wa hisa kupiga kura kuamua kukubali kuunganisha ama kukataa...
Gari, Teknolojia
Tesla Inaufanyia kazi mfumo wa magari yake kujiendesha yenyewe
Kufuatia ajali kadhaa kwa magari ya Tesla yakiwa katika mfumo wa kujiendesha yenyewe kampuni hiyo hatimaye inafanyia madiliko mfumo wake wa kujiendesha wenyewe.
Gari, Magari, Teknolojia
Apple yaajiri mhandisi kutoka kampuni ya Tesla
Kampuni ya Apple ambayo makao makuu yake yapo huku California Marekani imempoka mhandisi wa kampuni ya Tesla ili kuupa nguvu mradi wake ya kutengeneza...