Android, apps, Google Photos, Teknolojia
Unafahamu kuwa Google Photos imeboreshwa?
Ukuaji wa teknolojia ambao unaenda sambamba na utandawazi leo hii si ajabu kuona watu wamepunguza sana kuweka kumbukumbu za picha katika mtindo ambao unaweza...
apps, Teknolojia
FaceApp: App iliyojipatia umaarufu mkubwa ila pia imejikuta kwenye skendo
Je umeshatumia app ya FaceApp.? Hadi sasa utakuwa umekutana na picha za wazee kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii. Lakini tofauti ni kwamba hizi...
apps, Google, Google Drive, Picha
Apps na Programu za Google Drive na Google Photos zatenganishwa
Google Drive na Google Photos zatenganishwa na Google. Google wamefanya uamuzi huo wakisema unatokana na maoni ya utumiaji ambao wamekuwa wanasema muunganiko wa huduma...
Teknolojia, whatsapp
Kutafuta kitu mtandaoni kupitia WhatsApp
Ukuaji wa teknolojia umekuwa chachu ya kuwafungua macho watu na kuweza kujua vitu vinavyoendelea duniani kwa njia mbalimbali na neno “Kuperuzi” sio neno geni...
apps, Facebook, Intaneti, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia
Machapisho ya picha na video kuweza kuweka muziki
Facebook imekuwa ikibiresha vitu mbalimbali na kwa namna moja au nyingine akaunti hiyo haipendezi bila kuwa na machapisho ya picha kutoka kwa marafiki kwenye...
apps, instagram, Intaneti, simu, Teknolojia
Maboresho kwenye Instagram: Machapisho mapya kuonyeshwa kwanza
Uzuri na kinachovutia kwenye Instagram ni kuona machapisho ya picha/video kwenye Istagram ambapo itategemeana na watu uliowafuata.
Chrome, Kamera, Video
Google Clips: Kikamera janja kiduchu kinachojiendesha chenyewe
Fahamu kuhusu Google Clips. Google wanakuletea kikamera kiduchu kwa ukubwa na kinachojiendesha chenyewe huku kikichagua wakati muafaka wa kukupiga picha na video ambazo inazirusha...
Android, Intaneti, iOS, meseji, Mtandao wa Kijamii, Picha, Smartphones
Facebook yawezesha kutuma picha zenye ubora wa 4K kwenye Messenger
Facebook imekuwa kiungo muhimu sana katika kurahisisha mawasiliano kwa kwenye Facebook bila hata kufungua app kuu ya Facebook na ukafungua tu Facebook Messenger na...
Kamera, Picha, Video
Mauzo ya Kamera yazidi kuporomoka, sababu ni mauzo ya simu janja
Data za mauzo ya kamera zinaonesha ya kwamba utengenezaji na mauzo ya kamera za kawaida yanazidi kuporomoka kutokana na ukuaji wa mauzo na utumiaji...
Kompyuta, Teknolojia, Uchambuzi
Dell XPS 15: Kompyuta nzuri kwenye uhariri wa picha/video
Uhariri wa picha/video umekuwa chanzo cha kipato kwa wakubwa na wadogo. Wengi wanaweza kudhani kuwa kompyuta zinazotengenezwa na Apple (Mac) ndio pekee nzuri sana...
apps, Google, Kompyuta
Utaweza Kubackup Kompyuta Nzima kupitia Google Drive
Google wanaleta maboresho mapya katika app/programu yao maarufu ya Google Drive. Kupitia Google Drive utaweza kubackup kompyuta nzima.
Intaneti, Picha, Teknolojia
Miaka 30 ya mafaili ya mtindo wa GIF. – Fahamu historia yake!
Mwezi huu video fupi ambazo zinatumika katika mitandao ya kijamii maarufu kama GIF zimetimiza miaka 30 tangu zianzishwe, GIF ambazo zinatumika zaidi kama meme...