fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: MacBook

Fahamu: Apple Waja na MacBook ya Uzito wa Kilo 1!
AppleTeknolojia

Fahamu: Apple Waja na MacBook ya Uzito wa Kilo 1!

Baada ya kuendelea kupata mafanikio mengi katika iPhone 6 sasa Apple wakuletea MacBook nyembamba zaidi na yenye uzito mdogo zaidi. MacBook hiyo inayoenda kwa jina la ‘MacBook’, bila ‘Air’ wala ‘Pro’ kama tulivyozoea ina uzito wa kilogramu 0.9 na wembamba wa milimita 13, yaani sentimita 1.3. Laptop hiyo imetambulishwa kwenye mkutano mdogo uliokuwa umeandaliwa na…

TeknoKona Teknolojia Tanzania