fbpx

Kikokotozi cha Windows chawekwa wazi GITHUB.

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Kikokotozi cha Windows kinakuja kitofauti. Mapema mwezi huu kampuni ya Microsoft yaweka code (kanuni) za programu yake ya kikokotoa ambazo kwa sasa zitawezesha na kuwaruhusu mtu yeyote mwenye uwezo wa kunyumbua na kuendeleza uwezo ndani ya programu hiyo.

 

Kikokotozi cha Windows

Kikokotozi cha Windows

Kwa sasa programu hiyo inapatikana katika tovuti ya kuhifadhi code (kanuni) ambayo iko wazi kwa kila mtu ya GITHUB ambayo ni mashuhuri duniani kwa kuhifadhi code (kanuni) kwa uwazi. Uamuzi huo umeelezwa na Microsoft kwamba utaongeza ufanisi na kufanya programu iyo kuwa bora zaidi.

Kikokotoa

Tangu kuwekwa wazi kwa progrmu hiyo pia mhandisi wa Microsoft, Bw. Dave Grochocki amependekeza kuwezeshwa programu hiyo kufanya hesabu za graph.

 Je, kwa kuwekwa wazi na kuongezwa uwezo wa kikotoa hiki cha programu endeshi ya Windows kitawasaidia watumiaji zaidi?

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Ni Kweli: Apple Wanakuja na Magari, yaite 'iCar'
Share.

About Author

Mwanafunzi wa SUA, mwandishi wa mambo ya teknolojia hususani kwenye kompyuta na simu. I know alot.

Comments are closed.