fbpx
Teknolojia

Karibu Teknokona (Kona ya Teknolojia Tanzania)

karibu-teknokona-kona-ya-teknologia-tanzania
Sambaza

Shukrani za dhati kwako kwa kuweza kutembelea blog hii na tunaomba radhi kwa kutokuwepo kwa makala wala habari yoyote kwa sasa,.

Hii ni kwa sababu blog hii bado ipo katika hatua za mwisho za matengenezo na ni matumaini yetu kuwa punde si punde tutaanza kukupa kile unachostahili, yaani Habari na Makala zilizochambuliwa kwa kina kuhusiana na maswala ya Teknolojia ikiwa ndio lengo rasmi la blog hii.

INAYOHUSIANA  Jinsi Ya Kugeuza (Chini Juu) Maneno Unayoandika Katika Mitandao Ya Kijamii Na Kwingine!

Tunakusihi uendelee kutembelea blog hii na tunapenda kukuhakishia kuwa umechagua sehemu sahihi ya kupata vidokezo na habari kwa kina kuhusu Teknolojia.

-Asante

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share

Mhariri Mkuu

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

Reply your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked*