fbpx

Ipi kamera kali? Ya Galaxy S10, iPhone XS au Pixel 3! tupe jibu

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +

ICT CONFERENCE 2019

Sambaza

Kumekuwa na ubishani kwa wapenzi wa simu hususani kwenye upande wa kamera kwamba ipi simu yenye kamera bora zaidi ya nyingine zilizomo kwenye simu za Samsung Galaxy S10, iPhone XS na Google Pixel 3.

Kupitia tovuti yako namba moja Tanzania kwa masuala ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili ya teknokona, tutawawekea picha zilizopigwa na kamera zilizo kwenye simu hizo kisha utaamua ni ipi picha iliyo kwenye muonekano mzuri na halisi.

INAYOHUSIANA  App Bora Kwa Ajili Ya Kamera Za iOs Na Android!

Kumbuka matoleo haya ndio ya mwisho kwa makampuni hayo matatu. Samsung Galaxy S10 imetolewa Februari 2019, iPhone XS Septemba 2018 na Pixel 3 imetolewa Oktoba 2018.

Picha tutakazoweka ni zile zilizopigwa kwa kamera ya nyuma na mbele (Selfie).

Sifa za kamera zilizokuwemo katika simu hizo ni kama zifuatavyo hapo chini.

Galaxy S10 
Kamera ya Nyuma: 16 MP
Kamera Mbele : 10 MP

Soma uchambuzi wake hapa -> Uchambuzi Simu ya Samsung Galaxy S10

iPhone XS
Kamera ya Nyuma: 12 MP
Kamera Mbele : 7 MP

INAYOHUSIANA  Kampuni za simu Uchina zafanya vizuri kimauzo

Soma uchambuzi wake hapa -> Uchambuzi wa Simu ya iPhone XS

Google Pixel 3
Kamera ya Nyuma: 12.5 MP
Kamera Mbele : 8 MP

Soma uchambuzi wake hapa -> Uchambuzi wa Simu ya Google Pixel 3

Angalia picha hizo kisha tuambie ipi iliyotoka vizuri na halisi kupitia simu hizo tatu.

Kamera ya nyuma

Selfie

Facebook Comments

Sambaza

ICT CONFERENCE 2019

Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.