fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Infinix simu Smartphones

Kampuni Ya Simu, Infinix Kutambulisha Toleo La NOTE 11 Novemba 11!

Kampuni Ya Simu, Infinix Kutambulisha Toleo La NOTE 11 Novemba 11!
Spread the love

Kampuni ya simu Infinix inaonekana kutumia njia mbalimbali kufikisha ujumbe Kwa wateja wake. Hivi punde Infinix imeonekana kuweka post kupitia kurasa ya @infinixmobiletz …..

zinazoashiria ujio wa Infinix NOTE 11 na Infinix NOTE 11 pro zikiwa na sifa hizi AMOLED DISPLAY 6.7 fhd+ na Gaming processor Helio G96.

Infinix NOTE 11 Pro

Infinix NOTE 11 Pro

Muitikio ukoje? Muitikio unaonekana ni mkubwa kiasi ya kwamba nimehamasika kuwafikishia wapenzi wa tech habari hii njema….

SOMA PIA  ZenFone Zoom: Ifahamu Simu Janja Kutoka ASUS yenye Kamera ya 'Optical Zoom'

….Inasadikika japo kuwa ni simu za kwanza kutoka toleo la NOTE kuwa na sifa za kipekee lakini huenda ikawa na bei rafiki yani kutotofautiana pakubwa na bei ya pre-order http://surl.li/apwvq

Baadhi Ya Sifa Za Infinix NOTE 11

Baadhi Ya Sifa Za Infinix NOTE 11

Baadhi ya sifa nyingine za simu hizi bado kuwekwa wazi lakini kupitia mtandaoni Infinix NOTE 11 inaonekana kuwa na umbo jemba na ubora wa kioo cha Vivid AMOLED chenye urefu wa inch 6.7.

Siku Ya Uzinduzi Wa Infinix NOTE 11..

Siku Ya Uzinduzi Wa NOTE 11

Pia kuhusu NOTE 11 pro picha mitandaoni zinaashiria speed ikiwa na maana NOTE 11 pro inaweza kufanya kile komputa inafanya kupitia processor yake ya G96 pamoja GB 8 ya Ram na refresh rate ya 120.

SOMA PIA  Xiaomi yauza simu Milioni 2 ktk Masaa 12, Rekodi ya Dunia ya Guinness Yawekwa

OFA: Simu hizi zinakuja na ofa ya GB96 za internet kutoka Tigo kwa mengi zaidi tembelea https://www.infinixmobility.com/

Ningependa Kusikia Kutoka Kwako, Hii Umeipokekeaje Niambie Hapo Chini Katika Eneo La Comment?

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!

Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii

  Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania