fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Google Mtandao

Google Translate Yaongeza Lugha 24, Kati Ya Hizo 10 Ni Kutoka Africa!

Google Translate Yaongeza Lugha 24, Kati Ya Hizo 10 Ni Kutoka Africa!

Spread the love

Google ni mtandao mkubwa sana na hivi karibuni katika huduma yake ya kutafsiri lugha ijulikano kama Google Translate kuna maboresho yamefanyika.

Mpaka sasa zimeongezwa lugha 24 ambazo zinaongelewa kwa watu Zaidi ya milioni mia tatu. Ukaichana na hiyo kizuri ni kwamba lugha kutoka Afrika zimeongezwa 10.

App Ya Google Translate

App Ya Google Translate

Hii inamaanisha kuwa katika mtandao huo kutakua na jumla ya lugha 133, kwa haraka haraka ni kwamba hizo zinauwezo zikawa zinaongeleka dunia nzima.

Lugha Zenyewe Ni Kama Zifuatazo (Kutoka Afrika Tuu)!

Bambara, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 14 chini Mali

Ewe, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 7 chini Ghana na Togo

Krio, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 4 chini Sierra Leone

Lingala, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 45 chini Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo, Angola, Jamuhuri ya sudani kusini na chi zingine

SOMA PIA  Hivi Unajua Kama Unaweza Kufanya Haya Na Gmail?

Luganda, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 20 chini Uganda na Rwanda

Oromo, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 37 chini Ethiopia na Kenya

Sepedi, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 14 chini Afrika Kusini

Tigrinya, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 8 chini Eritrea na Ethiopia

Tsonga, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 7 chini Eswatini, Mozambiki, Afrika kusini na Zimbabwe

SOMA PIA  ZoomTanzania Yaboresha Soko La Biashara Mtandaoni!

Twi, Ambayo inatumiwa na Zaidi ya watu milioni 11 chini Ghana.

Google Translate -Tafsiri Zaidi Ya Lugha 100 Kwa Kutumia App Hii

Google Translate -Tafsiri Zaidi Ya Lugha 100 Kwa Kutumia App Hii

Googgle Translate bado nna imani itaendelea kutoa maboresho zaidi kwa kuzidi kuongeza lugha katika mtandao wake.

Ningependa kusikia kutoka kwako, naindikie hapo chini katika uwanja wa comment, hii umeipokeaje?

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii

Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania