fbpx
Android, Google Pixels, simu, Teknolojia

Google Pixel 3 na 3 XL zimetoka

google-pixel-3-na-3-xl-zimetoka

Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/teknoloj/public_html/wp-content/plugins/intelly-related-posts/includes/core.php on line 163

Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/teknoloj/public_html/wp-content/plugins/intelly-related-posts/includes/core.php on line 163
Sambaza

Kama kuna simu ambayo ilikuwa na fununu nyingi katika miezi ya karibuni rununu Google Pixel 3 na 3 XL zinaongoza lakini baada ya mengi kusemwa sasa simu hizo zimetambulishwa rasmi.

Google imeweka wazi sifa za simu ambazo kwa kweli ziliongelewa sana katika siku za karibuni kuhussina na uwezo wa bidhaa husika, muonekano, kamera, n.k. Sasa hayo yote tuyaache na fahamu sifa rasmi za Google Pixel 3 na 3 XL.

Kipengele

Pixel 3

Pixel 3 XL

Kioo Kioo kina urefu wa inchi 5.5  AMOLED, 2160 x 1080 pixels Kioo kina urefu wa inchi 6.3  AMOLED, 2960 x 1080 pixels
Muonekamo Inafanana sana na toleo la 2 XL Inaendana kama simu za Huawei, OnePlus na Vivo zote za mwaka 2018
Kipuri mama Qualcomm Snapdragon 845 kasi yake ikiwa 4x 2.5GHz na Adreno 630 ubora wa ung’avu Qualcomm Snapdragon 845 na kasi yake ikiwa 4x 1.6GHz na Adreno 630 ubora wa ung’avu
INAYOHUSIANA  Microsoft Edge, Kivinjari Kipya: Apps za Android na iOS Kufanya Kazi Kwenye Windows 10
Google Pixel 3 na 3 XL
Google Pixel 3 na 3 XL.

Kipengele

Pixel 3

Pixel 3 XL

Kamera Kamera moja nyuma na mbili upande wa mbele; ile ya nyuma ina MP 12.2 na za mbele zote mbili zina MP 8 kila moja. Kamera moja nyuma na mbili upande wa mbele; ile ya nyuma ina MP 12.2 na za mbele zote mbili zina MP 8 kila moja.
RAM/Diski uhifadhi 4 GB RAM, 64/128GB memori ya ndani 4 GB RAM, 64/128GB memori ya ndani
Betri
 • 2915 mAh ndio nguvu ya betri.
 • Pia ikiwa na teknolojia ya kuchaji haraka; kuchaji kwa muda wa dakika 15 kutasaidia simu idumu kwa saa saba.
 • 3430mAh ndio nguvu ya betri.
 • Pia ikiwa na teknolojia ya kuchaji haraka; kuchaji kwa muda wa dakika 15 kutasaidia simu idumu kwa saa saba.
INAYOHUSIANA  Mapigo ya moyo kutumika badala ya Alama za vidole! #Usalama
Google Pixel 3 na 3 XL
Ubora wa kamera kati ya iPhone XS na Pixel 3.

Kipengele

Pixel 3

Pixel 3 XL

Bei

$799|Tsh. 1,837,700 (64GB), $899|Tsh. 2,067,700 (128GB)

$899|Tsh. 2,067,700 (64GB), $999|Tsh. 2,297,700 (128GB)

Rangi

Nyeusi, Nyeupe na Udhurungi

Nyeusi, Nyeupe na Udhurungi

Mengineyo

 • Ina teknolojia ya eSIM kama ilivyo kwenye iPhone XS na XS Max,
 • haina uwezo wa kurekodi video za kiwango cha 4K,
 • Kama hutaki kupokea simu kwa muda huo unaweza ukabofya kitufe (screen call) simu ikapokelewa na muda utakaopenda utasikiliza kulichosemwa na mhusika na
 • haina sehemu ya kuchomekea spika za masikioni

INAYOHUSIANA  Uchambuzi : Ifahamu Simu ya Huawei Ascend Y530
Google Pixel 3 na 3 XL
Kimemeshi kisichotumia waya kwenye simu za Pixel 3.

Simu ndio hizo ambazo zilikuwa zinaongelewa kwa sana lakini bado hazijaingia sokoni. Mbali na hapo kuna bidhaa nyingine mbili ambazo zilitoka pamoja na Pixel 3 na 3 XL.

Vyanzo: Forbes, The Verge

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share

Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/teknoloj/public_html/wp-content/plugins/intelly-related-posts/includes/core.php on line 163

Mato Eric

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|