fbpx

Sikukuu ya Wajinga: Google waweka Gemu la nyoka kwenye App ya Map

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Ikiwa leo ni sikukuu ya wajinga duniani (April Foolish’s day) watu wengi huwa wanafanya vitu mbalimbali kama utani (prank) kwa watu wao wa karibu au wateja wao. Kampuni ya Google waweka Gemu la nyoka ndani ya app ya Map katika sikukuu hii ya wajinga.

gemu la nyoka kwenye app

Gemu la nyoka kwenye app

image : Google

Google wamesema game hilo litakaa ndani ya app yao kwa muda wa wiki moja katika progamu endeshi za iOS na Android. Pia game hili linapatikana katika tovuti ya snake game .

INAYOHUSIANA  Twitter: Sasa Utaweza Kuchati Kwa Zaidi ya Herufi 140 kwenye DM

gemu la nyoka kwenye app

 

Ili kuipata game hili nenda kwa app yako ya MAP sehemu ya Menu tafuta sehemu imeandikwa PLAY SNAKE kisha bonyeza na kuanza kucheza game hiyo. mchezaji anaweza kuchagua sehemu mbalimbali za kucheza kama Cairo, São Paulo, London, Sydney, San Francisco au Tokyo.

BONYEZA HAPA KUCHEZA
Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mwanafunzi wa SUA, mwandishi wa mambo ya teknolojia hususani kwenye kompyuta na simu. I know alot.

Comments are closed.