fbpx

DELL yarudishwa tena kwenye soko la hisa

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Maana ya kampuni kuwa kwenye soko la hisa ni kwamba sasa umiliki wake sio tena wa binafsi bali umma hivyo mtu yeyote mwenye uwezo anaweza akanunua hisa na kuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni husika.

Baada ya miaka mitano kuwa katika umiliki binafsi Desemba, 28 2018 DELL ilirudi kwenye soko la hisa na hisa moja ilikuwa ikiuzwa $46 na kupanda baada ya muda kidogo.

Mwaka 2013, mwanzilishi na Afisa Mkuu Mtendaji, Bw. Michael Dell aliamua kuifanya kampuni hiyo kuwa ya binafsi tena kwa gharama ya $25bn kwa ushirikiano na kampuni nyingine, Silver Lake.

soko la hisa

DELL yarudi tena kwenye umiliki wa umma baada ya kurejea kwenye soko la hisa.

Katika kipindi cha miaka mitano ambayo DELL ilikuwa ikimilikiwa kibinafsi ilipata faida kutokana na mauzo ya kompyuta mahususi kwa ajili ya kucheza magemu, huduma za utuzaji vitu sehemu isiyojulikana.

Vyanzo: The Verge, Forbes

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Uber yaingia kwenye ulingo wa kumilikiwa na wengi
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.