fbpx

Browsing Author: Mhariri Mkuu

Nimeiopata hii toka gazeti la ‘online’ la Mashable [www.mashable.com].
Najua kwa Tanzania wengi wetu huwezi tuambia chochote kuhusu huduma nyingine za kijamii kama Google Plus na Twitter, wengi hatupo tayari kujaribu kitu kingine zaidi ya Facebook, na pale tunapojaribu tunakata tamaa mapema kwa sababu tunataka tukielewe na kuweza kutumia haraka zaidi. Lakini si kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea, huko wengi wao wanajari sana kitu kinachoitwa ‘privacy’, wapo makini juu ya data zao wanazoweka online, iwe picha au status zao. Na pale wanapoona kuna huduma iliyobora zaidi hawaogopi kujaribu na hata kufunga account zao katika huduma wanayoona inaonesha data zao nyingi sana kwa watu.
Na hii ndo maana watumiaji wa Facebook katika nchi kama Marekani wanapungua, wakati huduma kama ya Google Plus ikikimbiliwa zaidi.
Je Watanzania huwa tunajari suala la Privacy? Sidhani…
Facebook…..
0 Comments
Share
1909192