fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

tecno

All posts by Comrade Mokiwa

Comrade Mokiwa Muanzilishi wa Teknokona na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog. | mhariri(at)teknokona.co.tz |

JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii!!
FacebookTanzaniaTeknolojia

JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii!!

Siku chache zilizopita nilishangaa kupata mfululizo wa updates Facebook nikiambiwa rafiki yangu mmoja ameni’tag’ kwenye video flani. Kuja kuangalia ukurasa wangu wa Profile Facebook ilibidi nianze kazi ya ziada ya kuzifuta video hizo, kwani ilikuwa inaonesha picha ya ngono huku ikisema nitamchukia Rihanna kama niki’click link hiyo kwenda kuangalia hiyo video.

AfrikaAirtelsimu

Makampuni Ya Simu NIGERIA Yapigwa Faini Kutokana Na Kutoa Huduma Mbovu!

Makumpuni ya simu nchini Naijeria yaonjwa faini ya aina yake. Makampuni hayo yametozwa kiasi cha billioni 1.17 Naira ambazo ni takribani shillingi bilioni 11.6 za kitanzania, kutokana na kudaiwa kutoa huduma zilizochini ya viwango. Hivi serikali yetu ikifanya hivi makampuni gani unadhani yatawajibika katika hili? Makampuni yaliyokumbwa na panga hilo ni pamoja na mampuni maarufu…

AirtelTanzaniaTigoVodacomZantel

Unatumia Modem Gani?

Nina mpango wa kuandika makala fupi kuhusu ni mtandao gani uchague unapotaka kununua ‘modem’ kulingana na matumizi yako, ila kabla sijafanya hivyo ningependa kupata picha nzima kutoka kwenu wasomaji wetu, Je wewe unatumia modem ya kampuni gani? Na kama ushawahi kutumia kampuni nyingine kwa nini umeachana nayo? <a href=”http://www.blogpolls.com/poll/79856.html”>Blog Polls</a>

DropBoxTanzania

Je, Umetumia DropBox?

DropBox ni njia nzuri ya kuweza kuwa na data zako kama mafaili ya ofisi, picha, video au muziki,  iwe ofisini, nyumbani, dukani au popote ulipo, muda wowote. Mara nyingi katika ulimwengu wa sasa tunakuwa kwenye mishemishe na mara nyingi tunajikuta tumesahau kubeba vitu tunavyotakiwa kuwa navyo. Hii hali inatufanya tuwe na perfomance ndogo katika vitu…

MicrosoftWindows XP

Windows XP; Miaka Miwili Zaidi ya Uhai!

Kwa watumiaji wote wa kawaida wa Windows XP muda wa kuanza kujifunza kuzoea Windows Vista na Windows 7 umewadia kwani Microsoft wametangaza kuanzia tarehe mwezi wa Nne mwaka 2014 ndo utakuwa mwisho wa ‘updates’ za aina zote kwa Windows XP. Kwa maana nyingine ‘hackers’ na wadudu kama ‘virus’ na ‘trojans’ wapya kuanzia hapo watakuwa na…

Smartphones

Ifahamu WhatsApp Messenger

Kwa watumiaji wa simu za Blackberry waliojiunga na Blackberry services wanafurahia huduma ya kutuma ujumbe wa maneno, sauti, picha pamoja na video kwa kutumia application ijulikanayo kama Blackberry Messenger (BBM) huduma ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa kwa vijana. Kama nilivyodokeza mwanzo huduma ya Blackberry Messenger ni kwa ajili ya watumiaji wa simu za Blackberry tu…

Smartphones

Nokia yatambulisha Familia mpya ya Nokia Lumia

Kampuni kongwe inayojihusisha na utengenezaji wa simu za mkoni ya Nokia imetambulisha simu mpya mbili ambazo tayari zimeanza kupokea tathmini chanya kutoka kwa wataalamu mbali mbali wa maswala ya teknologia, simu hizo ambazo ni Nokia Lumia 800 pamoja na Nokia Lumia 710 zote zikiwa zinatumia mfumo wa uendeshaji (Operating System) aina ya Windows Phone uliobuniwa…

FacebookTanzaniaTeknolojia

Unaonaje Hii?

Nimeiopata hii toka gazeti la ‘online’ la Mashable [www.mashable.com]. Najua kwa Tanzania wengi wetu huwezi tuambia chochote kuhusu huduma nyingine za kijamii kama Google Plus na Twitter, wengi hatupo tayari kujaribu kitu kingine zaidi ya Facebook, na pale tunapojaribu tunakata tamaa mapema kwa sababu tunataka tukielewe na kuweza kutumia haraka zaidi. Lakini si kwa wenzetu…

AfrikaBlackberryTanzania

Matatizo Ya Blackberry!

Kuanzia jumatatu huduma za Blackberry zimekuwa na matatizo katika nchi nyingi duniani pamoja na Tanzania, kwa habari za uhakika ni kwamba huduma zimeshaanza kurudi katika hali ya kawaida kwa watumiaji wengi ingawa bado kutakuwa na matatizo mengine yatakuwapo bado. Asa kwa watumiaji wa nchi za Ulaya, Uarabuni, India na Africa [Nchi zinazotumia network ya mfumo…

Smartphones

Apple yatoa Siri

Kampuni ya Apple inc ya nchini Marekani inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za Teknologia ikiwa ni pamoja na simu zilizojipatia umaarufu mkubwa zilizopewa jina la iphone imekua na utamaduni wa wakuwaacha midomo wazi watumiaji wa bidhaa zao pamoja na wapinzani kila wanapotambulisha bidhaa au huduma mpya. Tarehe 4 mwezi huu Apple waliitambulisha na…

TeknoKona Teknolojia Tanzania