fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

All posts by Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Fanya Kompyuta Yako Iweze Rusha WiFi Kwa Vifaa Vingine!
IntanetiJinsiKompyutaLaptopMaujanjaTeknolojia

Fanya Kompyuta Yako Iweze Rusha WiFi Kwa Vifaa Vingine!

Kwa nini ununue ‘WiFi Router’ wakati una teknolojia kubwa inayokuzunguka ambayo inaweza igeuza laptop yako kama kifaa kinachorusha WiFi kwa vifaa vingine kama vile simu na hata laptop nyingine. Kuna baadhi  ya vitu unaweza fanya hata wewe mwenyewe na kuepuka kutumia au matumizi mengi ya pesa zako ambazo ungeweza tumia katika mambo mengine. Leo tutakuelezea jinsi…

Kuwa Tayari Kwa Emoji Mpya Na Nzuri Zaidi!
AndroidIntanetiIPhonemesejisimuSmartphonesTeknolojia

Kuwa Tayari Kwa Emoji Mpya Na Nzuri Zaidi!

Tunaweza tafuta njia mbadala ya kuonyesha Msisimko wetu wakati wa kutuma meseji na kuchati katika vifaa vyetu vya elektroniki. Kutuma meseji kwa kutumia Emoji (Zile alama za rangirangi kama sura ya furaha, ukauzu, kununa, dole gumba n.k) inaweza fanya meseji ikaonekana nzuri zaidi. Mfano ukituma meseji ya kuchekesha alafu mtu akakujibu ujumbe akaweka na zile…

Microsoft Yaacha Jina La Nokia Katika Simu-Janja  Za Lumia!
MicrosoftsimuSmartphones

Microsoft Yaacha Jina La Nokia Katika Simu-Janja Za Lumia!

Kwanza kampuni za Nokia Na Microsoft  Ni makampuni  mawili tofauti, wengi huchanganya hili. Wengi Tumezizoea kuziita Nokia Lumia, Sasa hiyo inabadilika. Wiki kadhaa zijazo jina La Nokia Lumia Litabadilika na simu hizo zitaitwa jina lingine.  Kampuni ya Microsoft inayomilikiwa na Bill Gates imethibitisha kuwa haitatumia jina la Nokia katika simu za Lumia  bali itatumia jina…

Facebook  Waja Na Safety Check!
appsFacebook

Facebook Waja Na Safety Check!

Kampuni nguli inayohusiana na mitandao ya kijamii Kupitia mtandao wao wa Facebook, imekuja na ‘tool’ mpya inayoitwa ‘Safety Check’ambayo inaweza kutaarifu familia na marafiki kwamba mtumiaji yupo salama. Facebook itatumia maeneo (location) katika maprofile ya watu ili kuangalia nani atakua hatarini. Pia itatumia watu waliokaribu (Nearby Friends) na watu wa eneo hilo kwa ujumla wanaotumia…

AndroidAppleappsIntanetiMtandaoMtandao wa KijamiisimuTeknolojia

Mambo 20 Kuhusu Mtandao Wa Kijamii Wa Twitter!

  Twitter ni mtandao wa kijamii wa pili kwa ukubwa duniani. Maarufu kwa meseji zake zenye maneno 140 tuu zinazojulikana kama ‘Tweets’. Twitter ilianzishwa mwezi  Machi 2006 na katika kipindi cha miaka nane ilipata umaarufu wake duniani kote. Kwa sasa Twitter ina watumiaji zaidi ya milioni 271 ambao wako hai (active users), amabao wana Tweet…

Mambo 16 Ya Ukweli  na ya Kuvutia Kuhusu Bill Gates!
KompyutaMicrosoftOperating SystemTeknolojia

Mambo 16 Ya Ukweli na ya Kuvutia Kuhusu Bill Gates!

Bill Gates ni mwekezaji wa marekani, Programa wa kompyuta, Mwekezaji na mwenyekiti wa zamani wa Microsoft (Kampuni kubwa ya programu duniani). Tangu mwaka 1995 amekua namba moja katika orodha ya matajiri wakuu (forbes) duniani  isipokua mwaka 2008 ambapo alikua namba 3. Unaweza usijue lakini kila sekunde Bill Gates anainginza takribani dola 250 za kimarekani, Na kwa…

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!
AndroidHTCHTC OneJinsiMaujanjaSamsungsimuSmartphonesTabletTabletsTeknolojia

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!

Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani wakubwa wa kampuni Ya Apple ambao wana iPhone zinazotumia iOs. Watu wengi wanasema simu za android ni rahisi kutumia kuliko zile za Apple, Mimi nasema inategemea na mtu na chaguo lake (ha!).  Watumiaji wa Android wanafurahia maelfu kwa maelfu ya aplikesheni (Application) zinazopatikana…

TeknoKona Teknolojia Tanzania