fbpx

Aina za makosa ya mtandaoni kwa Tanzania

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Mara kwa mara tumekua tukisikia kuhusu ya makosa ya mtandaoni lakini je, tunayajua? Kumbuka kutotekeleza (kwenda nje na matakwa ya sheria).

Leo nimependa tuangazazie aina za makosa ya kimtandao na ni matumaini yetu kwamba kutokana na makala hii kuna kitu utajifunza. Makosa ya mtandaoni yamegawanyika katika sehemu nne ambazo ambazo ni kama ifuatavyo:-

 1. Makosa dhidi ya usiri, usalama na upatikanaji wa taarifa za kompyuta/mifumo ya kompyuta hii ikiwa na kuingilia kompyuta au mfumo wa kompyuta (system) kinyume cha sheria, wizi wa taarifa za mtandao.
 2. Makosa dhidi ya kutumia kompyuta ni pamoja na:
 • udanganyifu kwa kutumia kompyuta,
 • kugushi kwa kutumia kompyuta,
 • wizi wa utambulisho wa mtu binafsi mtandaoni na
 • matumizi ya vifaa  vya kidujiti kinyume cha sheria.

  Aina za makosa

  Wizi wa kisasa duniani unategemea sana vifaa vya kidijiti.

 1. Makosa yanayohusiana na maudhui kama vile:
 • usambazaji wa picha/picha jongefu za ngono,
 • kashfa na taarifa za uongo,
 • makosa dhidi ya ubaguzi wa rangi na chuki,
 • michezo ya kamari mtandaoni kinyume cha sheria na
 • makosa dhidi ya haki na hati miliki
 1. Sheria inatambua muungano wa makosa kama vile utakatishaji wa fedha haramu na ugaidi kwa kutumia mtandao.

  Aina za makosa

  Utakatishaji wa fedha unasumbua mataifa mengi duniani.

Je, kuna sharia yoyote uliyokua unavunja bila ya mwenyewe kujua? Kama ipo natumaini mpaka sasa umeshafahamu kwamba ni kosa na kuna adhabu kali sana kutolewa endapo mtu atabainika na makosa haya.

Kumbuka kutembelea teknokona kila siku ili kujipatia elimu kuhusu TEHAMA kwa ujumla bila kusahau kila siku uupo nawe katika teknolojia!.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Mkurugenzi wa Vodacom Kushikiliwa na Polisi: Inahusisha Teknolojia & Mapato
Share.

About Author

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.