SpaceX kuwashusha wanaanga mwezini baada ya kushinda tenda ya NASA. #Artemis
SpaceX kuwashusha wanaanga mwezini mwaka 2024. Kwa muda mrefu sasa shirika la anga la Marekani, NASA, limekuwa linafanya kazi na makampuni kadhaa katika kuja na kifaa cha kuweza kutumika kwa ajili ya kuwashusha wanaanga mwezini.